Kila Biashara inayokua Inahitaji Tovuti

Kwanini kila biashara inayo kua inahitaji Tovuti/Website -Vizuri umeuliza soma zaidi…

👇

Ndio website inakusaidiaje kuuza zaidi

Mpaka kuwa hapa najua unafahamu website/Tovuti ni nini, Ina Faida ipi ndilo swali Je unajua Asilimia 70 % ya watu  wanafanya manunuzi baada ya kusoma au kupata taarifa zaidi  kuhusu huduma au Bidhaa kabla ya kununua…?, Hakuna njia rahisi zaidi ya kufanikisha hili zaidi ya kuwa na website Mfano biasharayako.com   (kama unafanya matangazo kama mimi basi huwa unapata tabu ya kuelezea bidhaa au huduma zako /na wakati mwingine bila kufanikiwa Kwa nini usiwe na website inayoelezea bidhaa au huduma unazotoa pia ukaongeza kuaminika na kukuza brand  ya biashara zaidi , Kutokana na biashara unayofanya website unaweza kuitumia kukunufaisha kwa namna tofauti – kwanza tujue aina za  website na ipi itakufaa wewe zaidi….

  • E-comerce website
  • Business website.
  • Blog website.
  • Portfolio website.
  • Personal website.
  • Nonprofit website.
E-comerce website

Hii ni website inayokuwezesha kuuza na kufanya manunuzi mtandaoni , ikimaanisha unaweza kuweka bidhaa zako mtanda0ni mtu akalipia na kujaza taarifa zake zote na wewe utapata taarifa ya manunuzi kwa simu/email ikiwa na taarifa zote za mteja na malipo yakapokelewa kwenye account yako. Ndio ni kama kikuu lakini hii ni ya kwako  .Sasa kazi ikibaki ya kufanya delivery kwa mteja (kujua zaidi wasiliana nasi )

Business website.

Kwa wamiliki wa kampuni zinazotoa huduma au bidhaa mbalimbali Eg construction ,Transportation, Tourism Utaweza kueleza huduma unazozitoa kwa kina, Nini unafanya…? Gharama …? na taaarifa zote kama mission statement ,vision, mwisho mteja akajaza form na ku request huduma au bidhaa na ukatumiwa maelezo na website yako moja kwa moja  kwa email yako ( website hizi zinatengenezwa kwa mfumo unaomwezesha mteja kusoma kuhusu huduma, kujua mahitaji au gharama mahali unapopatikana hadi kujaza taarifa zake (sales Tunnels) karibu ufahamu zaidi

Blog website.

Unapenda kuandika..? Ungependa kuwa na website ya habari Au Ajira ndio Kama unataka website kama zilizotajwa hapo zinazokuwezesha kupost habari au majarida wasiliana nasi pia unaweza kufaidika kwa kuweka matangazo ya kulipwa kwenye website yako (kama upo tayari kuanza kuandika sisi tunawezesha hilo

Personal website.

Ndio sio biashara tu, unapenda kuelezea wewe unafanya nini. unaweza kuwa na website kama jinalako.com wewe ni nani sio kwa watu mashuhuri tu , au ungependa kujielezea zaidi contact us

Nonprofit website.

Kuisadia jamii haijawahi kuwa rahisi ukiwa mwenyewe. ila ina kuwa rahisi zaidi ukishirikisha watu na wakakushika mkono na website ya organization yako itarahisisha hili

Utaweza kupokea donation/michango online ku post project mnazofanya na kuhamasisha kupitia online campaigns 

Je umeona website unayohitaji..?

Ni baadhi tu ya yanayowezekana .Offer Ya Muda mfupi kwa TSH 300,000 utapata website ya biashara au huduma Yako wasiliana nasi kujua zaidi Biashara yako iongeze iwepo mtandaoni Bonyeza link iliyo andikwa whatsapp us kuwasiliaana nasi whatsapp Au piga 0742114498