Cars GPS Tracking Solution in Tanzania

Mfumo wa Gt accurate Tracking unakuwezesha kutrack gari / pikipiki popote kwa simu

Pale chombo chako umemkabidhi dereva / au mtumiaji ni mtu mwingine tofauti na mmiliki kunahitajika uangalizi zaidi, Je gari au pikipiki yako ipo mikononi mwa dereva mwingine au unahitaji kuongeza usalama wa gari lako na wale uwapendao, Mfumo wa Gps tracking unakuwezesha kutatua hili

Mfumo huu unakuwezesha kujua location halisi ya gari lako kwa kutuma sms au kupitia app, pia unaweza kuzima gari au pikipiki kwa kutuma sms kama #stop tu,Mfumo huu Haukuwezeshi kujua location ya gari pekee ila pia 

  • Kuzima gari kwa sms
  • kusikiliza sauti ndani ya gari
  • overspeed Alarm
  • Pia alarm pale gari linapovuka mpaka wa eneo ulipo ruhusu lifike
Location halisi ya gari lako kwa simu
Mfumo huu unafanyaje kazi

Mfumo Gt06 unatumia  laini ya simu ili kufanya kazi ,kifaa hiki kinatumia mfumo wa mitandao ya simu kuhakikisha kinapata eneo halisi la gps hivyo kujua kilipo chombo chako  muda wote ,pia laini hii ndio inatumika kutuma na kupoke maelekezo ya kutuma gps location kuzima gari ,kusikiliza sauti ,kutuma ujumbe pale kifaa kikitaka kuharibiwa au kutolewa, na kutambua speed ya gari, Mfumo huu unahakikisha usalama kwa asilimia 99% kwa chombo chako dhidi ya wizi au matumizi mabaya 

kupata mfumo huu Fanya yafuatayo

Kwanza Utahitaji kusajili laini mpya ya mtandao wowote ambayo hutatumia kwa matumizi mengine . Kisha utafika office zetu zilizopo manzese darajani cyprus building floor namba tatu Duo technology / Au wasiliana nasi tuweze kukufata ulipo kufanaya instalation ya mfumo huu Gharama ya mfuomo ni sh 200,000 tu pamoja na 30,000 ya ufundi Unaweza kutupigia kwa namba 0742114498 au bonyeza link hii kuchat whatsapp nasi 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *